资讯

Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Jumamosi, Agosti 23, 2025 imekutana jijini Dodoma katika kikao cha kuteua wagombea wake wa ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca ameelezea kilichomfanya Cole Palmer kushindwa kucheza mechi ya West Ham United, huku mchezaji aliyecheza badala yake, Estevao Willian akionyesha balaa kubwa uwanjani.
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya imekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh9.6 milioni kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.
Wananchi zaidi ya 14,000 wa Kata ya Bwawani wilayani Arumeru mkoa wa Arusha, wameondokana na adha ya kufuata huduma ya afya umbali mrefu na kupelekea wagonjwa wengine kupoteza maisha njiani ...
Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha waombaji wa mikopo na ufadhili wa Samia Scholarship kuwa dirisha la maombi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 litafungwa ...
Inawezekana ni moja ya ahadi itakayohitaji utaalamu na gharama kubwa kuitekeleza lakini Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), kimeahidi kutengeneza vinu vya nyuklia endapo ...
Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana ...
Miili ya watu wawili waliofukiwa na kifusi kwenye mgodi uliopo katika Kijiji cha Mwongozo, halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, imeopolewa usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025 na hivyo ...
Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Mtu mmoja anahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika shimo linalotumika kuchimba dhahabu katika mgodi wa ...
Kocha Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
Nyota wa Kimataifa wa Uruguay Luis Diaz amesema alizungumza na kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz kuhusu Bundesliga kabla ya kukubali dili la kujiunga na Bayern Munich.