资讯

Huduma hii mpya ya mizigo kwa njia ya anga, inayoendeshwa na kampuni ya Tanzania ya Xerin Group Limited, itatumia ndege aina ya B737-800 freighter yenye uwezo wa kubeba hadi tani 20 kwa safari moja.
Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Abdul-razak Badru. Wastaafu na wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF) sasa wana kila sababu ya kutembea kifua mbele baada ya serikali kuongeza ...
Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho, inang’ata na kupuliza kwa wafanyabiashara na bodaboda ambao wameondolewa baadhi ya ...
CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimetoa neno kuhusu kikokotoo cha wastaafu baada ya serikali kutangaza kuongeza mafao ya mkupuo kwa wastaafu na kueleza kuwa matamanio yao yalikuwa ni ongezeko kwa ...
Ni wazi Haaland kulea mtoto na Isabel ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu na anashuhudia ikitimia mapema kama ilivyokuwa ile ya kuwa mfungaji bora wa Norway kwa muda wote akiisambaratisha rekodi ...
Straika wampa kicheko Mayanga Jumapili, Septemba 15, 2024 By Saddam Sadick Reporter Mwananchi Communications Limited ...
WANANCHI mkoani Mtwara waliokuwa wanadai fidia ya mazao kutoka kwa Kampuni ya Utafiti wa Gesi na Mafuta (ARA Petroleum Tanzania) wameeleza kufurahishwa hatua ya Kampuni hiyo kuwalipa fidia yao bila ...
Bao pekee lililofungwa na kiungo, Mudathir Yahya dakika ya 88, limeiwezesha timu ya Yanga kuendeleza wimbi la ushindi wa asilimia 100 katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mudathir aliyeingia kipindi ...
DAR ES SALAAM: Afya ya mlinda lango wa Simba ya Dar es Salaam na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Aisha Manula ‘Tanzania One’ inaelezwa kuimarika. Hii ni kwa mujibu wa picha mnato zilizorushwa ...
Na sasa ni wakati wa kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Kwa muoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha ...
Mwandishi bingwa wa fasihi ya Kiswahili, Profesa Said Ahmed Mohamed, anatambulika kwa kuibuwa kwake mitindo mbalimbali ya kifasihi kwenye kazi zake. Mnojawapo ni huu wa kicheko ambao unafafanuliwa ...
Mtanzania Tozo 54 zafutwa, wafugaji kicheko -Kuhusu tozo za Shirika la Viwango (TBS), Dk. Mpango alisema anapendekeza kufuta tozo ya Sh. 50,000 ya maombi ya alama ya ubora, tozo ya nembo ya ubora ...