资讯
KABLA ya mechi mbili za jana za Kundi C, rekodi zilikuwa zikionyesha jumla ya mabao 66 yametinga wavuni kupitia mechi 32, ...
JUMANNE ya Agosti 12, 2025, nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' alisaini mkataba wa nyongeza wa mwaka mmoja ...
KATIKA kuhakikisha inakuwa na timu ya ushindani kimataifa, mabosi wao Mlandege wamemshusha mshambuliaji, Ishmael Robino ...
LICHA ya kusaini mkataba wa miaka miwili ili aitumikie Tabora United, kiungo mshambuliaji wa Mlandege, Juma Kidawa ‘Pogba’ ...
WAWAKILISHI wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika, KMKM imemnyakua kocha mpya kutoka Dar ili kujiweka tayari kwa ...
SIKU moja baada ya kutua Mlandege, kocha wa Abdallah Mohamed 'Baresi' amesema wana kazi kubwa ya kufanya kuipambania timu ...
Mshambuliaji wa Brighton, Aisha Masaka huenda akatolewa kwa mkopo au kuuzwa moja kwa moja katika moja ya timu za Ligi Kuu ya ...
MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Lavalava ameweka wazi changamoto anazokutana nazo katika safari ya fani hiyo iliyompa jina kubwa ...
POLISI katika Jiji la Liverpool, wamethibitisha mwanamume mmoja amekamatwa baada ya Antoine Semenyo kuripoti ubaguzi ...
BEKI wa Mersin inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki, Mudrick Mohamed amesema malengo makubwa ya timu hiyo msimu huu ni ...
MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruwesh Saliboko ameshindwa kujizuia na kufunguka namna alivyofurahia kambi ya maandalizi ya msimu mpya ...
MCHEKESHAJI Idriss Sultan amemwaga povu kwa watu waliomshupalia amekuwa akirudia nguo baada ya kumshtukia hivi karibuni.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果