资讯

Wakati Serikali ya Kenya chini ya Rais William Ruto ikipitia misukosuko kutoka kwa wananchi wake, viongozi wa vyama vya ...
Rais wa Kenya William Ruto, siku ya Jumatano amewaonya wale anaoamini kuwa wanataka kuzusha machafuko ili kupindua serikali ...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameibua hisia kali miongoni mwa raia wa nchi hiyo, kufuatia matamshi yake akiwataka polisi ...
Reta ntishobora kurera amaboko ngo irebere gusa ibintu n'abantu biriko birasamburwa n'abafasha abari mu myiyerekano - nk'uko ...
Waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani, wakidai Rais William Ruto ajiuzulu. Maandamano yalifanyika sehemu nyingi za nchi hiyo Julai 7, yakisababisha makabiliano na polisi. Picha za video ...
RAIS wa Kenya William Ruto ametoa onyo kali kwa wale anaoamini kwamba wanapanga kuiangusha serikali yake, akiachana na wito ...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa makazi ya polisi jijini Nairobi Rais Ruto aliyeonekana kuwa na hasira alisema yuko ...
Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto za kisiasa huku kizazi cha Gen Z kikiongoza maandamano ya kupinga gharama za maisha. Serikali yake sasa inakabiliwa na chaguo, kutumia nguvu au kusikiliza s ...
RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema wale wanaoandamana wakimtaka ajiuzulu wanapuuza Katiba ya nchi, ambayo inaeleza wazi ...
NAIROBI : WATU wawili wamepoteza maisha na wengine 10 kujeruhiwa vibaya kufuatia maandamano makubwa yaliyofanyika hapo jana ...
Watu wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 10 kulazwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta, wakiwa na majeraha ya risasi katika maandamano nchini Keneya.
Japo haijafahamika lengo la vijana nchini humo kuingia barabarani hata hivyo, taarifa zinadai azma ya vijana hao ni kupinga ...