News

*Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa *Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi *Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada Na Mwandishi Wetu, ...
Kingai amesisitiza kuwa uhalifu wa mtandaoni ni mpya katika kanda hii, na kuna haja ya Watanzania kujifunza mbinu mpya za kupambana nao. “Kwa nchi za Afrika Mashariki, changamoto ni uhalifu wa ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili kuboresha usalama wa usafiri majini na kuchochea maendeleo ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na Usambazaji wa Mitungi ya Gesi (LPG) ...
*Wananchi wakata tamaa, wasema ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano Na Ashura Kazinja, Morogoro WANANCHI zaidi ya 11,000 wa vitongoji vitatu vya Mbuyuni, Rudewa Batini na Gongoni katika ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanza nia Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi katika Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Serikali kuendelea na mchakato wa uwekezaji wa bandari huku ikisikiliza maoni yenye dhamira njema na kuyachukua ili yaongeze tija. Kimesema kinachofanywa na ...
NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma Umoja wa Wanawake Viongozi Serikalini umetoa mashuka 400 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, vituo vya afya vya Makole na vya wilaya ya Kongwa na Chamwino na kile ...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao ambacho OSHA ilifanya ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya sheria na baadhi ya kanuni zake ili ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ), Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Ufutiliaji na Tathimini ya Utendaji wa Shughuli za Serikali ...