资讯
*Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa *Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi *Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada Na Mwandishi Wetu, ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili kuboresha usalama wa usafiri majini na kuchochea maendeleo ...
Kingai amesisitiza kuwa uhalifu wa mtandaoni ni mpya katika kanda hii, na kuna haja ya Watanzania kujifunza mbinu mpya za kupambana nao. “Kwa nchi za Afrika Mashariki, changamoto ni uhalifu wa ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na Usambazaji wa Mitungi ya Gesi (LPG) ...
*Wananchi wakata tamaa, wasema ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano Na Ashura Kazinja, Morogoro WANANCHI zaidi ya 11,000 wa vitongoji vitatu vya Mbuyuni, Rudewa Batini na Gongoni katika ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanza nia Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi katika Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Serikali kuendelea na mchakato wa uwekezaji wa bandari huku ikisikiliza maoni yenye dhamira njema na kuyachukua ili yaongeze tija. Kimesema kinachofanywa na ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya sheria na baadhi ya kanuni zake ili ...
Na Mwandishi Wetu Imekuwa ni kawaida kwa Shule ya Sekondari ya High View na ya Msingi High Mount zilizopo Gongo la Mboto Mwisho wa Lami, Ilala jijini Dar es Salaam kuibua na kuendeleza vipaji vya ...
NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Mtanzania Yanga yajivinjari kileleni -By france February 5, 2015 0 1583 NA SALMA JUMA, TANGA USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Wagosi wa Kaya wa Tanga, timu ya Coastal Union jana umeifanya Yanga kujivinjari ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果