资讯

Huduma hii mpya ya mizigo kwa njia ya anga, inayoendeshwa na kampuni ya Tanzania ya Xerin Group Limited, itatumia ndege aina ya B737-800 freighter yenye uwezo wa kubeba hadi tani 20 kwa safari moja.
Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho, inang’ata na kupuliza kwa wafanyabiashara na bodaboda ambao wameondolewa baadhi ya ...
Kicheko kwa wajasiriamali Dodoma. Maelezo ya picha, Kicheko kwa wajasiriamali Dodoma. 8 Julai 2015. Mji wa Dodoma unaonekana kuwa na sifa kadhaa katika siasa na maisha ya watanzania.
"Ndugu wa kambo wa Trump" azua kicheko mitandaoni. Chanzo cha picha, Rickey Smiley. Maelezo ya picha, "Ndugu wa kambi wa Donald Trump" 31 Januari 2017. Labda mwenyewe umetambua hivyo.
Mnojawapo ni huu wa kicheko ambao unafafanuliwa hapa na Mhadhiri Msaidizi wa Fasihi ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Neema Benson Sway, kupitia tamthiliya ya Amezidi. You need to ...